Na jaribu leonidance
GIRL GUIDES WAFANYA MAHAFALI YAO KATIKA SHULE YA SECONDARI ARUSHA
Mahafari hayo
yaliyoseheni viongozi wa girl guides katika sherehe ambazo hufanyika kila mwaka
tangu mwaka 1977 kwa ajiri ya kuwaenzi waasisi wa ( GIRL GUIDE) kama Barden Pawel pamoja na Oliver pawel.
Bi; Sarali Milungu
kwa ushirikiano wa nchi za kimaifa alidai kuwa wazazi kuelewa na kuwapa
muda watoto wao ili kushiriki katika
tamasha la Thinking day conection,
akisisitiza kuwa wasichana kuzingatia Elimu kama silaha ya kujikomboa katika
maisha yao, wao wenyewe kujitambua, familia zao, jamii na Taifa kwa ujumla
kwasababu ukimuelimisha msichana ni Elimu ya Taifa zima alisema mama huyo, akidai kuwa elimu itawasaidia
kujiunganisha na Mataifa mengine ya nje
katika bara lote la Afrika kwa kuwa
(TGGA) ni kwa Mataifa yote ulimwenguni .
Hata hivo mama huyo aliendelea kusema kuwa Elimu itolewe kwa wavulana waache kuwa
na mahusiano babaya kwa wasichana , badala yake wawe msaada kwa watoto wa kike
kuwa wazazi wawajengee mazingira rafiki kwa kutoa ruhusa kwa watoto wao, walimu
wa vyuo huko wasomako wasichana wa
(TGGA) Tanzania Girl Guide
Association akidai kuwa ni chama binafsi
kisicho cha serikali kuwa ni chama cha
kujitorea kikiwa na malengo ya
kuendeleza wanawake pamoja na watoto wa
kike katika hali ya kujihamini, kiuchumi, kielimu kwa kuwapa mafunzo na kanuni
za Girl Guides.
Mbali na hayo Bi; Milungu alisemakuwa tangu kuanzishwa kwa sekta hiyo wameweza kuwaunganisha wasichana
kakika mikoa yote hapa nchini Tanzania pamoja na asilimia kubwa kwa nchi
za nje alidhibitisha Bi; Mary G Mwangi
M/kit wa Mkoa Arusha Girl Guides
akise wanahitaji ufadhili ili kuweza kufanikisha nia ya sekta hiyo, vilevile
aliendelea kusema maeneo ya kujenga
office ili kufikiwa kiulahisi, hata hivo alisema mbali na kuwepo na
vikwazo wameweza kupunguza vitendo viovu
dhidi ya mtoto wa kike kama kuozwa kabla ya umri, ubakaji pamoja na kazi
zisizozalazima akidai kwani Girl Guide huwajengea
uwezo mkubwa wa kuwa na ujasiri katika maisha.
Viongozi hao waliendelea
kuwaomba wazazi kuwa na mhitikio kwa kuwapa watoto nafasi kubwa za kushiriki katika
suala zima la elimu kupitia chama hicho ame wasisitaza wazazi kutokuwa na ubaguzi kwa
utoaji elimu kwa watoto bila kujali jinsia zao
No comments:
Post a Comment